Перейти к содержимому

KUMTAFUTA MUNGU KWA MOYO WAKO WOTE AU (SIRI YA KUMPATA MUNGU).......#biblia #himizo #viral #africa

Kambi Ya Wateule [Pst Benson Mwanza]

0:00 / 0:00

KUMTAFUTA MUNGU KWA MOYO WAKO WOTE AU (SIRI YA KUMPATA MUNGU).......#biblia #himizo #viral #africa

172 просмотра · 7 мес. назад
Kambi Ya Wateule [Pst Benson Mwanza]
4,43 тыс. подписчиков
172 просмотра · 7 мес. назад
Yeremia 29:10-14 Maana BWANA asema hivi, Babeli utakapotimiziwa miaka sabini, nitawajilia ninyi, na kulitimiza neno langu jema kwenu, kwa kuwarudisha mahali hapa. Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho. Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza.Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote.Nami nitaonekana kwenu, asema BWANA, nami nitawarudisha watu wenu waliofungwa, nami nitawakusanya ninyi, nikiwatoa katika mataifa yote, na katika mahali pote, nilikowafukuza, asema BWANA; nami nitawaleta tena, hata mahali ambapo kutoka hapo naliwafanya mchukuliwe mateka. Join this channel to get access to perks:    / @bensonmwanza   WhatsApp---https://chat.whatsapp.com/EXzIT1cBjpr... Twitter---https://twitter.com/bens_mwanza?lang=en Facebook---  / benson.mwanza   Instagram---  / bens_mwanza