UNYAMA WA BINADAMU NA UBINADAMU WA WANYAMAM.
Guiding Light TV
0:00 / 0:00
UNYAMA WA BINADAMU NA UBINADAMU WA WANYAMAM.
72 просмотра · 2 месяца назад
Guiding Light TV
482 подписчика
72 просмотра · 2 месяца назад
UNYAMA WA BINADAMU NA UBINADAMU WA WANYAMA
Leo tunajiuliza swali gumu: Kwa nini binadamu wamekuwa wanyama, ilihali wanyama wamekuwa wana ubinadamu? Tofauti iliyopo kati ya viumbe hawa wawili imebaki kwenye maumbile tu, lakini kitabia... mambo yamegeuka. Mtumie mtu pesa kwa M-Pesa kwa bahati mbaya leo. Utajionea unyama wake. Ilihali, mtazame paka. Hana akili ya kibinadamu, lakini akitaka kwenda haja, hutoka nje ya nyumba akatafuta sehemu, UHADOI NA USALITI WA IMANI])Walioibiwa mtandaoni (Online) siku hizi ni wengi mno. Ndani ya jamii yetu, kuwa makini sana na wale wanaoswali sana. Kuwa makini na wanaosoma Quran na Biblia kila uchao. Kwa nini? Kwa sababu swala siku hizi imebaki kwenye mswala tu. Kama vile ambavyo Quran na Biblia zimebakishwa kwenye makaratasi na rafu, lakini hazimo vifuani mwao. Wengi wanatumia dini kama chambo cha kukunasa.Usiishie hapo. Kuwa makini hata na matabibu na wale wa sayansi. Wapo watakaokuibia figo yako ukiwa kwenye nusu kaputi.