DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 20.07.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
DW Kiswahili
0:00 / 0:00
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 20.07.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
14 566 просмотров · Трансляция закончилась 2 месяца назад
DW Kiswahili
335 тыс. подписчиков
14 566 просмотров · Трансляция закончилась 2 месяца назад
Karibu katika matangazo yetu, tumekuandalia taarifa zifuatazo
+++ Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amesema nchi yake sasa iko katika kile alichokiita vita kamili dhidi ya Marekani
+++ Uingereza imepata Waziri Mkuu wake wa saba ndani ya miaka kumi.
+++ Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Johann Wadephul, Hivi leo anatarajiwa kuanza ziara yake ya tatu barani Afrika mwaka huu
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.