Перейти к содержимому

HAKUNA KUINGIA MBINGUNI KWA MTU WA NAMNA HII || PR.PAUL SEMBA.

Imani hai🙏2

0:00 / 0:00

HAKUNA KUINGIA MBINGUNI KWA MTU WA NAMNA HII || PR.PAUL SEMBA.

179 просмотров · 4 дн. назад
Imani hai🙏2
558 подписчиков
179 просмотров · 4 дн. назад
SOMO:HAKUNA MTU WA AINA HII ATAKAEINGIA MBINGUNI, mtu ambae Mali zake na kila kitu chake hakikutumika kwa kazi takatifu ya UTUME kuwavuta watu wengine kumuona Muumbaji mkuu yaani YESU kristo, yatupasa kuona umuhimu juu ya kazi hii ya kuwavuta wengine kwa kristo, katika kauli mbiu ya I WILL GO Katika mwongozo wa kipengele cha ONEVOICE2027, Yaani utume kwa wote kupitia Mali zako na kila kitu chako ulichopewa na MUNGU. #imanihai #education #mahubiri #mahubiritv #prmmbaga #prdavid #utumekwawote #ONEVOICE2027 #missionforall #missionimpossible #utume