Перейти к содержимому

IMANI YAKO INAPOTIKISWA UFANYE NINI?

Imani hai🙏2

0:00 / 0:00

IMANI YAKO INAPOTIKISWA UFANYE NINI?

283 просмотра · 4 дн. назад
Imani hai🙏2
218 подписчиков
283 просмотра · 4 дн. назад
unapopitia magumu na changamoto nyingi za maisha kuna wakati akili na roho huchoka na kumfanya mtu kuwa mnyonge na asiejua cha kufanya , somo hili kutoka kwa pr David Mmbaga limeandaliwa maalum kwa ajili yako hasa unapopitia nyakati ngumu za kukatisha tamaa na zenye majaribu mengi hiki ndicho unachotakiwa kufanya na zaidi yakupasa kuomba uongozi wa ROHO MTAKATIFU. #imanihai #education #mahubiri #mahubiritv #prmmbaga #prdavid #nyakatingumu #imanihai2