Graphite: Madini adimu Lindi yanayotengeneza betri za simu, ndege
Daily News Digital
0:00 / 0:00
Graphite: Madini adimu Lindi yanayotengeneza betri za simu, ndege
2 796 просмотров · 7 лет назад
Daily News Digital
284 тыс. подписчиков
2 796 просмотров · 7 лет назад
#JukwaaLaFursaZaBiasharaLindi #LindiBusinessForum #LindiKuchele #Graphite #Tsn
Huenda watu wengi walikuwa hawafahamu kama mkoa wa Lindi una utajiri mkubwa wa madini ya Graphite, Dhahabu, Jasi, Nickel na mengineyo mengi. Hii ni kwa sababu ya kutosikia habari za kutosha kuhusu mkoa huu. Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi anatanabaisha kwa kina madini hayo yanayopatikana mkoani humo na kutaka wawekezaji kwenda kuwekeza katika sekta hiyo