Serikali yasaini mikataba ya madini kampuni tatu za Australia
Azam TV
0:00 / 0:00
Serikali yasaini mikataba ya madini kampuni tatu za Australia
404 просмотра · 3 года назад
Azam TV
3,31 млн подписчиков
404 просмотра · 3 года назад
Rais Samia Suluhu Hassan ameongoza utiaji saini wa Mikataba ya Makubaliano Kati ya Serikali na Kampuni tatu za nchini Australia kwa ajili ya uchimbaji wa Madini ya Kinywe na madini adimu yanayopatikana katika mikoa ya Lindi, Morogoro na Songwe
Madini hayo yaliyogundulika nchini ni bidhaa adimu duniani katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi na yanatumika kutengeneza betri za magari, vifaa vya kilektroniki na mitambo huku Rais Samia akitoa angalizo kuzingatiwa kwa mikataba hiyo.