Перейти к содержимому

POLISI WATOA TAMKO ZITO MGOMO WA MADEREVA “TUTACHUKUA HATUA KALI”

ITV Tanzania

0:00 / 0:00

POLISI WATOA TAMKO ZITO MGOMO WA MADEREVA “TUTACHUKUA HATUA KALI”

7 326 просмотров · 15 часов назад
ITV Tanzania
1,37 млн подписчиков
7 326 просмотров · 15 часов назад
HABARI: Jeshi la Polisi nchini limekemea vikali na kutoa onyo kwa mtu au kundi la watu linalohamasisha mgomo kwa kuzuia safari za mabasi na malori, likisema hatua hiyo ni kinyume cha sheria za nchi. Kauli hiyo imetolewa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi (CP), Hawadhi Juma Haji, katika Makao Makuu Ndogo ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam.