Bei Inakuja Mwisho: Jinsi ya Kuchambua Kampuni Kabla ya Kuangalia Bei
Babuu Hisa
0:00 / 0:00
Bei Inakuja Mwisho: Jinsi ya Kuchambua Kampuni Kabla ya Kuangalia Bei
235 просмотров · 4 дня назад
Babuu Hisa
8,68 тыс. подписчиков
235 просмотров · 4 дня назад
Uchambuzi wa kampuni hatua kwa hatua, pamoja na mwenendo wa soko la DSE la tarehe 12 October 2026.
Wawekezaji wengi wanaanza na bei. Hilo ndilo kosa la kimfumo linalowapoteza kabla hata hawajaanza kuchambua biashara yenyewe.
Tunachokigusa:
Kwa nini bei inatakiwa iwe hatua ya mwisho, yaani unachambua biashara kwanza, bei inakuja namba tano
Jinsi akili yako inavyohalalisha bei uliyoiona kwanza, yaani unaanza kutafuta sababu za kuikubali badala ya kuichambua
Hatua ya kwanza ya uchambuzi wa TCC: Return on Equity, Return on Asset na Return on Invested Capital kwa miaka mitatu
DuPont, yaani kuvunja Return on Equity ili ujue inatokana na net margin, asset turnover au mikopo
Kwa nini unahitaji sababu za kuuza, siyo za kununua pekee
Mifano ya sheria za kutoka: margins kushuka chini ya 20%, payout kuzidi 90%, PE kufika 20, au Return on Equity chini ya 10% kwa miaka mitatu mfululizo
Kwa nini usiwe na mapenzi na kaunta unayoimiliki, yaani timu siyo mkakati
Mwenendo wa soko la tarehe 12 October: turnover ya bilioni 3.9, kaunta 24 zilizofanya biashara, na Zan ETF iliyopanda kwa 25% ndani ya siku moja
Video hii ni ya elimu pekee. Haitoi ushauri wa kununua au kuuza hisa yoyote.
Babuu Hisa, Invest with Confidence.
Instagram: @bro.babuu
WhatsApp: 0752 492 315