Jinsi ya Kuimba Kwa sauti ya Tumboni (Diaphragm Voice) / Beginner to Pro
Eagle's Rec Academy
0:00 / 0:00
Jinsi ya Kuimba Kwa sauti ya Tumboni (Diaphragm Voice) / Beginner to Pro
68 457 просмотров · 3 мес. назад
Eagle's Rec Academy
23 тыс. подписчиков
68 457 просмотров · 3 мес. назад
Je, unataka kuimba kwa nguvu, control na bila kuchoka?
Katika video hii nakufundisha kwa vitendo jinsi ya kutumia diaphragm (sauti ya tumboni) ili kuboresha uimbaji wako.
Utajifunza:
Diaphragm ni nini
Jinsi ya kupumua kwa usahihi
Mazoezi ya haraka ya kuboresha sauti yako
Makosa ya kawaida ya waimbaji
Video hii inafaa kwa:
✔ Beginners
✔ Waimbaji wa church
✔ Wasanii wanaotaka kuboresha vocals
📍 Kama unataka kujifunza zaidi:
Tunafundisha:
Uimbaji (Vocal training)
Kupiga instruments
Music production
Recording studio
📞 Wasiliana nami: 0717143547
Usisahau:
👍 Like
💬 Comment
🔔 Subscribe kwa masomo zaidi ya music
#DiaphragmVoice #KuimbaVizuri #VocalTraining #SingingLessons