Jinsi ya Kuimba kwa Punch Bila Kuumiza Koo | Vocal Training
Eagle's Rec Academy
0:00 / 0:00
Jinsi ya Kuimba kwa Punch Bila Kuumiza Koo | Vocal Training
10 702 просмотра · 1 месяц назад
Eagle's Rec Academy
23 тыс. подписчиков
10 702 просмотра · 1 месяц назад
Unataka kujua jinsi ya kuimba kwa Punch na kupata sauti yenye nguvu bila kuumiza koo? 🎤🔥
Katika somo hili nitakuonyesha mbinu sahihi za kuimba kwa nguvu (Punch), namna ya kutumia sauti vizuri na jinsi ya kuimba kwa ufanisi bila kuisukuma koo kupita kiasi.
Somo hili linafaa kwa waimbaji, worship leaders, choir members na mtu yeyote anayependa kuboresha sauti yake.
🎤 Vocal Training | Singing Technique | Kuimba kwa Nguvu
Kama unapenda masomo ya uimbaji, piano na music production, subscribe kwenye channel na uendelee kujifunza nasi. 🙏🎶