Перейти к содержимому

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 30.10.2026 | Asubuhi | Swahili Habari leo | Podcast

DW Kiswahili

0:00 / 0:00

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 30.10.2026 | Asubuhi | Swahili Habari leo | Podcast

4 229 просмотров · Трансляция закончилась 3 ч назад
DW Kiswahili
338 тыс. подписчиков
4 229 просмотров · Трансляция закончилась 3 ч назад
Ni matangazo ya asubuhi yanayokujia moja kwa moja kutoka Bonn, Ujerumani. Katika Dunia Yetu Leo Asubuhi tuliyoyapa kipaumbele ni pamoja na:- Wanasiasa wa upinzani nchini Israel wamekutana kufuatia uchaguzi wa bunge Jumanne wiki hii ili kuchunguza uwezekano wa kuunda muungano. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yamesema vikwazo vya Marekani dhidi ya Rwanda vilikuwa na msingi. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.