PROFESA MUHONGO AJILIPUA KWA NONDO ZA TAKWIMU BUNGENI - "TOZO HAIKUZI UCHUMI"...
Global TV Online
0:00 / 0:00
PROFESA MUHONGO AJILIPUA KWA NONDO ZA TAKWIMU BUNGENI - "TOZO HAIKUZI UCHUMI"...
5 406 просмотров · 1 дн. назад
Global TV Online
5,98 млн подписчиков
5 406 просмотров · 1 дн. назад
PROFESA MUHONGO AJILIPUA KWA NONDO ZA TAKWIMU BUNGENI - "TOZO HAIKUZI UCHUMI"...
Mbunge wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhungo, ametingisha Bunge kwa kutoa takwimu nzito kuhusu mwelekeo wa uchumi wa Tanzania kuelekea Dira ya Maendeleo ya Mwaka 2050 (Vision 2050).
Katika mchango wake, Prof. Muhungo amesisitiza wazi kuwa tozo na kodi hazijawahi kukuza uchumi wa nchi yoyote duniani, badala yake ameitaka serikali na Tume ya Mipango kuwekeza kwenye uzalishaji (production) hususan kilimo chenye tija, sekta ya gesi asilia, madini adimu (rare earth elements), utalii, pamoja na kuwasaidia Watanzania wanaofanya kazi nje ya nchi (diaspora).
Tazama video hii mwanzo hadi mwisho ujionee uchambuzi wa kitaalamu na mifano halisi ya jinsi mataifa kama China yalivyofanikiwa kupiga hatua kubwa za kiuchumi.
#ProfesaMuhungo #BungeLaTanzania #Uchumi #GlobalTV #HabariZaBunge #Tozo #Tanzania2050
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com