Перейти к содержимому

MITIMINGI # 240 MWANAUME ASIYEJISHUGHULISHA NA KAZI - HAFAI KUWA MUME

MITIMINGI ONLINE TV

0:00 / 0:00

MITIMINGI # 240 MWANAUME ASIYEJISHUGHULISHA NA KAZI - HAFAI KUWA MUME

30 475 просмотров · 8 лет назад
MITIMINGI ONLINE TV
150 тыс. подписчиков
30 475 просмотров · 8 лет назад
Mara nyingi sana nimesikia vijana wakilalamika ajira hamna, wanakaa tu nyumbani. hawajishughulishi na kutafuta vibarua, wao wamekaa tu kusubiri ajira za proffesional zao. Dalili mojawapo ya kutambua mume sahihi wa kukufaa katika maisha ni kujua Je,? Anajitahidi kutafuta kazi, hata vibarua vya hali ya chini. Mch na Mwl. Dr MITIMINGI p. Counseling Psychologist +255 713 18 39 39