Перейти к содержимому

JUBILEI IMEFIKA - Kwaya ya Mt. Theresia wa Mtoto Yesu Mbezi Louis DSM // Mtunzi : Jocelyn Kekisha

Mt. Theresia Mbezi Louis DSM

0:00 / 0:00

JUBILEI IMEFIKA - Kwaya ya Mt. Theresia wa Mtoto Yesu Mbezi Louis DSM // Mtunzi : Jocelyn Kekisha

2 029 просмотров · 11 мес. назад
Mt. Theresia Mbezi Louis DSM
389 подписчиков
2 029 просмотров · 11 мес. назад
Karibu kusikiliza Wimbo Maalumu kwa ajili ya Kilele Cha Jubilei ya Miaka 25 ya Parokia. Kupitia Jubilei hii ya Miaka 25, ni Wakati wa kuweka Mizigo ya Zamani Kando na kuvaa Utu Mpya unaotawaliwa na Upendo, huruma, kujali, Imani thabiti na kutakatifuza Malimwengu. Mama Kanisa anatukumbusha kuwa tunaowajibu wa kukuza Imani ya Kikristo tuliyoipokea Kupitia Sakramenti ya Ubatizo ili tuvirithishe Vizazi Vijavyo Uwezo wa Kutambua na Kuiheshimu Imani yetu. #zaburi95 #nitumemimibwana #jubileiimefika #jubileiyamiaka25 #mahu #choir #kwayakatoliki #muzikimtakatifu