SHOMORO AMEONA NYUMBA - Kwaya ya Mt. Theresia wa Mtoto Yesu Mbezi Louis DSM
Mt. Theresia Mbezi Louis DSM
0:00 / 0:00
SHOMORO AMEONA NYUMBA - Kwaya ya Mt. Theresia wa Mtoto Yesu Mbezi Louis DSM
15 849 просмотров · 1 год назад
Mt. Theresia Mbezi Louis DSM
388 подписчиков
15 849 просмотров · 1 год назад
Karibu Kutazama Wimbo Maalumu wa Shukrani kwa Mungu Kutoka Kwaya ya Mt. Theresia wa Mtoto Yesu Parokia ya Mt. Peter Claver Jimbo kuu la Dar es Salaam, kwa ajili ya Mwanakwaya Mwenzetu aliyepata Daraja Takatifu ya Upadre Fr. Andrew Mauya wa Shirika la Wamisionari wa Damu ya Yesu.
Amepata Daraja Takatifu ya Upadre Tarehe 25.01.2025 katika Parokia ya Mwili na Damu - Kola Jimbo Katoliki Morogoro.
Zaburi 84:3.
"Shomoro naye ameona nyumba,
Na mbayuwayu amejipatia kioto,
Alipoweka makinda yake,
Kwenye madhabahu zako, Ee BWANA wa majeshi,
Mfalme wangu na Mungu wangu."
.
.
.
.
#zaburi95
#nitumemimibwana
#shomoroameonanyumba
#choir