BARABARA YA MTWARAPACHA-LUSEWA-TUNDURU KUWEKWA LAMI
KUSINI NEWS
0:00 / 0:00
BARABARA YA MTWARAPACHA-LUSEWA-TUNDURU KUWEKWA LAMI
1 512 просмотров · 6 л. назад
KUSINI NEWS
27,7 тыс. подписчиков
1 512 просмотров · 6 л. назад
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema serikali imetoa shilingi bilioni 2.7 kwa ajili ya mchakato wa kuweka lami barabara ya Mtwarapachani kupitia Lusewa hadi Namtumbo yenye urefu wa kilometa 300.