Перейти к содержимому

MAOMBI MAALUMU YA KUFUNGULIWA KWA WASICHANA AMBAO BADO HAWAJAOLEWA

Minister Mocky

0:00 / 0:00

MAOMBI MAALUMU YA KUFUNGULIWA KWA WASICHANA AMBAO BADO HAWAJAOLEWA

12 778 просмотров · 5 лет назад
Minister Mocky
21,7 тыс. подписчиков
12 778 просмотров · 5 лет назад
“Lakini watu hawa ni watu walioibiwa na kutekwa; wote wamenaswa katika mashimo, wamefichwa katika magereza; wamekuwa mawindo, wala hapana aokoaye; wamekuwa mateka, wala hapana asemaye, Rudisha.” ‭‭Isa‬ ‭42:22‬ ‭SUV‬‬ Praise the Lord.. Leo ni siku yetu ya maombi ya kufunguliwa ya wasichana, Mungu yuko tayari kutufungua Na hichi ndio kitakachofatia, “itasikilikana tena sauti ya furaha na sauti ya shangwe, sauti ya bwana arusi na sauti ya bibi arusi, sauti yao wasemao Mshukuruni BWANA wa majeshi, maana BWANA ni mwema, rehema zake ni za milele; na sauti zao waletao sadaka za shukrani nyumbani kwa BWANA. Kwa kuwa nitawarudisha wafungwa wa nchi hii kama kwanza, asema BWANA.” ‭‭Yer‬ ‭33:11‬ ‭SUV‬‬ THIS IS YOUR SEASON. In Jesus name,AMEN Min Mocky