Перейти к содержимому

Watu 8 Wanaokurudisha Nyuma Bila wewe Kujua

Paulo Ringo | Ringo Psychospiritual Hub

0:00 / 0:00

Watu 8 Wanaokurudisha Nyuma Bila wewe Kujua

9 364 просмотра · 8 мес. назад
Paulo Ringo | Ringo Psychospiritual Hub
1,56 тыс. подписчиков
9 364 просмотра · 8 мес. назад
Sio watu wote wanaorudi nyuma hawana jitihada — wengine wanarudi nyuma kwa sababu ya watu waliowapa nafasi kwenye maisha yao. Katika somo hili la kina Mwinjilisti na Mwanasaikolojia Paul Ringo anakufunulia: 🔹 Aina 8 za watu wanaokurudisha nyuma 🔹 Jinsi wanavyoathiri fikra, maamuzi na hatima yako 🔹 Unachopaswa kufanya ili kulinda mwelekeo wa maisha yako. 📌 Tazama mpaka mwisho — kuna ufunguo wa kubadili mwelekeo wa maisha yako. 👍 Like | 🔔 Subscribe | 📤 Share na mtu unayejali #MaishaBora #SaikolojiaNaImani #MotivationSwahili #MaendeleoBinafsi #RingoPsychospiritualHub #Mahusiano #Mindset