Siri Kubwa: Kwa Nini Watu Wema Huumia Zaidi Kuliko Watu Wabaya?
Paulo Ringo | Ringo Psychospiritual Hub
0:00 / 0:00
Siri Kubwa: Kwa Nini Watu Wema Huumia Zaidi Kuliko Watu Wabaya?
522 просмотра · 4 мес. назад
Paulo Ringo | Ringo Psychospiritual Hub
1,56 тыс. подписчиков
522 просмотра · 4 мес. назад
Kwa nini watu wema na wenye huruma huumia zaidi kuliko watu wabaya?
Katika somo hili utajifunza sababu zinazowafanya watu wenye mioyo mizuri kukumbana na maumivu, usaliti na changamoto nyingi katika maisha. Utagundua siri kubwa inayoweza kubadilisha mtazamo wako kuhusu wema, huruma na mahusiano ya kibinadamu.
Mwalimu: Ev. Psy Paulo Rongo
Mawasiliano: 0714 599 663
Karibu ujifunze, utoe maoni yako na usisahau kusubscribe kwa masomo zaidi ya kujenga maisha.
#WatuWema #Huruma #Saikolojia #Maisha #Motisha #EvPsyPauloRongo #Tanzania #SwahiliContent #ElimuYaMaisha