Перейти к содержимому

AICT Magomeni Vijana Choir ( MVC ) - Ft Christina Halai - USHUHUDA (Official Live Recorded Video)

AICT Magomeni Vijana Choir (MVC)

0:00 / 0:00

AICT Magomeni Vijana Choir ( MVC ) - Ft Christina Halai - USHUHUDA (Official Live Recorded Video)

55 583 просмотра · 6 мес. назад
AICT Magomeni Vijana Choir (MVC)
2,78 тыс. подписчиков
55 583 просмотра · 6 мес. назад
Ni wimbo unao elezea matendo makuu ya Mungu na jinsi Mungu anavyojidhihirisha katika maisha ya mtu. Ni jambo la imani kwamba tukipata ama tukikosa bado Mungu anabaki kuwa tumaini na ushindi wetu. 1 Yohana 5:11 unasema.“Na huu ndio ushuhuda, ya kwamba Mungu ametupa uzima wa milele; na uzima huo umo ndani ya Mwana wake.” Uzima wa milele ni moja ya matendo makuu kutoka kwa Mungu, si kitu tunachopata kwa juhudi zetu wenyewe. Ni neema yake kwa wanadamu. #overflowinggrace​ #neematele​ Songwritter: GEOFREY MFELLO Music Director: JUSTINE YEGELA Audio Mixing & Mastering - QUILLIAN JAPHET KILAGO Video Director - SAMVISTAR Stage, PA, Backline, Screen, Lights - HADDYPRO CO LTD Light Engineer - JORAM LIGHTS Dressed by KUYA CREATION Connect with us YouTube: AICT Magomeni Vijana Choir Instagram: @mvc_magomeni Facebook: Aict Magomeni Vijana Choir TikTok: @mvc_magomeni Threads: @mvc_magomeni Contact us: WhatsApp: +255 785 563 509,+225 714806522 Email: aictmvc2003@gmail.com