MAKAMU WA RAIS ATOFAUTIANA NA TRUMP KUHUSU NETANYAHU KUELEKEA UCHAGUZI UJAO - AKATAA KUMUUNGA MKONO
Global TV Online
0:00 / 0:00
MAKAMU WA RAIS ATOFAUTIANA NA TRUMP KUHUSU NETANYAHU KUELEKEA UCHAGUZI UJAO - AKATAA KUMUUNGA MKONO
4 139 просмотров · 16 ч назад
Global TV Online
5,97 млн подписчиков
4 139 просмотров · 16 ч назад
MAKAMU WA RAIS ATOFAUTIANA NA TRUMP KUHUSU NETANYAHU KUELEKEA UCHAGUZI UJAO - AKATAA KUMUUNGA MKONO
Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance, ameweka wazi msimamo wake kuhusu uchaguzi mkuu ujao nchini Israel na uwezekano wa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kuchaguliwa tena. Tofauti na Rais Donald Trump ambaye amekuwa akimuunga mkono Netanyahu waziwazi, Vance ameeleza kuwa hataki kuingilia siasa za ndani ya nchi hiyo na badala yake kipaumbele chake kikuu ni masuala ya ndani ya Marekani
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com