TRUMP AMZUIA NETANYAHU KUISHAMBULIA IRAN MWEZI HUU - ADAI UCHAGUZI UTAHARIBIKA - SINTOFAHAMU YAIBUKA
Global TV Online
0:00 / 0:00
TRUMP AMZUIA NETANYAHU KUISHAMBULIA IRAN MWEZI HUU - ADAI UCHAGUZI UTAHARIBIKA - SINTOFAHAMU YAIBUKA
4 421 просмотр · 5 ч назад
Global TV Online
5,97 млн подписчиков
4 421 просмотр · 5 ч назад
TRUMP AMZUIA NETANYAHU KUISHAMBULIA IRAN MWEZI HUU - ADAI UCHAGUZI UTAHARIBIKA - SINTOFAHAMU YAIBUKA
Ripoti zimeibuka zikieleza kuwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, alipanga kuanzisha tena mashambulizi makali dhidi ya maeneo na miundombinu ya nyuklia nchini Iran mapema mwezi huu, lakini Rais wa Marekani Donald Trump alikataa mpango huo. Trump ameelezwa kukataa hatua hiyo akihofia kuchochea vita upya na kuathiri mwenendo wa siasa na uchaguzi wa Marekani. Hali hii imeibua sintofahamu kubwa kuhusu mwelekeo wa usalama katika eneo zima la Mashariki ya Kati na jinsi Iran inavyoweza kujibu mapigo endapo mashambulizi yangefanyika.
#Trump #Netanyahu #Iran #Israel #GlobalTV #HabariZaKimataifa
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com