JIKE BORA NI KIWANDA CHA MFUGAJI WA NGURUWE.
PAN GRO TANZANIA
0:00 / 0:00
JIKE BORA NI KIWANDA CHA MFUGAJI WA NGURUWE.
1 480 просмотров · 1 г. назад
PAN GRO TANZANIA
2,96 тыс. подписчиков
1 480 просмотров · 1 г. назад
Dr Baguma akitoa ufafanuzi wa kina juu ya ufugaji wa nguruwe
Anaelezea juu ya mbegu mpya ya majike aina ya SERENIS na faida za kumfuga jike huyo.
Pia anatoa ushauri kwa wafugaji wote kuwekeza zaidi kwenye uchaguzi wa majike bora kwani faida ya mfugaji ipo kwenye watoto.
Ameeleza pia juu ya Lishe bora ambayo ni Mr Pig Concentrates ,chakula kinacholeta matokeo makubwa kwa muda mfupi na kwa gharama nafuu.
Endelea kufatilia masomo mbalimbali kupitia channel hii ya PAN GRO TANZANIA
Usisahau KUSUBSCRIBE,KULIKE,KUSHARE NA KUACHA KOMENT HAPO CHINI
MAWASILIANO.
PAN GRO TANZANIA
MR PIG TANZANIA
0678898874
TRUST OUR FEEDS,TRUST YOUR PIGS.