WATATU WAFARIKI DUNIA KWA AJALI YA LORI MTWARA
Faruku Ngonyani
0:00 / 0:00
WATATU WAFARIKI DUNIA KWA AJALI YA LORI MTWARA
13 980 просмотров · 2 дн. назад
Faruku Ngonyani
920 подписчиков
13 980 просмотров · 2 дн. назад
Watu watatu wote wanawake wamefariki Dunia na wengine sita wakirejuhiwa katika ajali iliyohusisha lori,bajaji pamoja na pikipiki ambayo imetokea eneo la Magomeni Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara.
Wakizungumza katika tukio la ajali hiyo baadhi ya mashuhuda wamesema kuwa Dereva wa lori inasemekana alitumia kilevi jambo ambalo limepelekea kutozingatia sheria ya usalama barabarani.
Akithibitisha kupoea kwa miili hiyo,Mkuu wa idara ya mafunzo utafiti na ufuatiliaji na tathimini ambaye pia ni msimamizi idara ya dharula kutoka Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mtwara Ligula Daktari Deogratius Makoti amesema kuwa jumla ya majeruhi wanne kati ya hao wawili wakiwa katika chumba cha wagonjwa mahututi na wengine wakipelekwa katika hospitali ya rufaa kanda ya kusini kwa matibabu zaidi