Перейти к содержимому

Furahia Ushindi Mdogo Mdogo | Kipindi Kamili | All New Akili and Me

Akili and Me - Kiswahili

0:00 / 0:00

Furahia Ushindi Mdogo Mdogo | Kipindi Kamili | All New Akili and Me

33 052 просмотра · 8 месяцев назад
Akili and Me - Kiswahili
724 тыс. подписчиков
33 052 просмотра · 8 месяцев назад
Akili akiwa anajiandaa kwa mashindano yake ya kusoma maneno, anajifunza kutoka kwa marafiki zake wa Lala Land kwamba ushindi sio lazima uwe wa kwanza au kupatia kila unapojaribu kitu kwa mara ya kwanza. Little Lion alitamani kunguruma kwa sauti kali kama baba yake na ingawa alishindwa, aliweza kugundua mngurumo wake wa kipekee. Akili anajifunza kuwa kuna umuhimu wa kujituma na kufurahia juhudi zako pia. Karibuni Lala Land, ulimwengu wa maajabu ambapo watoto wa miaka 3-6 watafurahia kuungana na Akili! Watajifunza namba, herufi, kuchora na Kiingereza! Subscribe kwenye channel hii kupata video bure za kujifurahisha kila wiki kutoka kwa Akili and Me! Edutainment iliyotengenezwa Afrika, kwa Afrika. https://www.youtube.com/c/AkiliKiswah... Angalia "Akili and Me": https://www.ubongo.org/shows/showtimes/ http://www.akiliandme.com   / akiliandme   Akili and Me ni kipindi cha elimu burudani kinachotengenezwa na Ubongo Media. https://www.ubongo.org Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid, Grand Challenges Canada: Saving Brains #SwahiliAlphabet #Elimu #AkiliandMe