TANESCO SHINYANGA WAJA na SULUHISHO la UMEME MDOGO kwa WATUMIAJI WAKUBWA...
Global TV Online
0:00 / 0:00
TANESCO SHINYANGA WAJA na SULUHISHO la UMEME MDOGO kwa WATUMIAJI WAKUBWA...
302 просмотра · 11 месяцев назад
Global TV Online
5,94 млн подписчиков
302 просмотра · 11 месяцев назад
TANESCO SHINYANGA WAJA na SULUHISHO la UMEME MDOGO kwa WATUMIAJI WAKUBWA...
@FLORA MASALU - SHINYANGA
CC; BAKARI MAHUNDU
Shirika la umeme Tanzania TANESCO Mkoa wa Shinyanga limekuja na suruhisho la umeme mdogo kwa watumiaji wakubwa wa nishati ya umeme mkoani humo kwa kutekeleza mradi wa uzalishaji umeme wa megawati 150 pamoja na kifaa cha Automatic Voltage Regulator.
Hayo yamebainishwa wakati wa mkutano wa wateja wakubwa wa umeme mkoa wa Shinyanga katika wiki ya huduma kwa wateja kufuatia uwepo wa changamoto ya umeme mdogo.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx