WAZIRI JAFFO AWA MBOGO, AWABANANISHA TUME ya TAIFA ya UMWAGILIAJI, ''NI UKANJANJA TU,''
Global TV Online
0:00 / 0:00
WAZIRI JAFFO AWA MBOGO, AWABANANISHA TUME ya TAIFA ya UMWAGILIAJI, ''NI UKANJANJA TU,''
1 004 просмотра · 4 года назад
Global TV Online
5,93 млн подписчиков
1 004 просмотра · 4 года назад
WAZIRI BASHE AWABANANISHA TUME ya TAIFA ya UMWAGILIAJI, UJENZI MFEREJI MVOMERO - ''NI UKANJANJA''..
Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh Seleman Jaffo amemtaka mkuu wa mkoa wa Morogoro kuunda tume itakayofanya uchunguzi wa fedha za mradi wa ujenzi mfereji katika skim ya umwagiliaji kutokana na kudhorota kwa mradi huo uliopo kijiji Cha lukenge kata ya Mtibwa Wilaya ya Mvomero
Ni katika ziara ya waziri wa Nchi ofisi ya makam wa Rais muungano na mazingira Mh Seleman jaffo kutembelea miradi ya kukabiliana na madiliko ya tabia ya nchi kutumia ekolojia vijijini EBARR katika wilaya ya mvomero mradi wa ujenzi wa mfereji ambapo kusuasua kwa mradi huo kunamlazimu waziri jaffo kumtaka mkuu wa mkoa wa Morogoro kuunda tume itakayofanya uchunguzi kwa kina juu ya kusuasua kwa mradi huo
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline