BULAYA ATOA POLE KWA WANANCHI WALIOATHIRIWA NA EL-NINO BUNDA
Mwananchi Digital
0:00 / 0:00
BULAYA ATOA POLE KWA WANANCHI WALIOATHIRIWA NA EL-NINO BUNDA
1 276 просмотров · 1 день назад
Mwananchi Digital
1,23 млн подписчиков
1 276 просмотров · 1 день назад
Mbunge wa Bunda Mjini, Esther Bulaya amesema tathmini imeanza kufanyika kubaini kiwango cha athari kwa wananchi walioharibiwa makazi yao kutokana na mvua iliyoambatana na upepo mkali, iliyonyesha jimboni humo.
Kwa mujibu wa Bulaya, mvua hiyo ilinyesha usiku wa kuamkia Oktoba 22, 2026 na kuleta madhara kwa wananchi wa Kata za Kabasa na Mchalo.
Bulaya ameyasema hayo Oktoba 22, 2026 alipotembelea maeneo yaliyoathiriwa na mvua hizo za El-na kutoa pole kwa waathirika.
Amesisitiza umuhimu wa wananchi kuendelea kuchukua tahadhari ya El-Nino, akisisitiza bado inaendelea na kunahitajika utayari ili kujihadhari.