Перейти к содержимому

WEBISODE 66: Naumwa nini?! | Ubongo Kids Utu | Hadithi za Kiswahili

Ubongo Kids Kiswahili

0:00 / 0:00

WEBISODE 66: Naumwa nini?! | Ubongo Kids Utu | Hadithi za Kiswahili

193 251 просмотр · 5 лет назад
Ubongo Kids Kiswahili
490 тыс. подписчиков
193 251 просмотр · 5 лет назад
Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya Akili and Me inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia: https://www.ubongokids.com   / ubongokids   Created by Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kids to learn and love learning! https://www.ubongo.org Imewezeshwa na Templeton World Charity Foundation.