BENJA | SIMULIZI FUPI
Lumbasi Simulizi
0:00 / 0:00
BENJA | SIMULIZI FUPI
17 356 просмотров · 6 месяцев назад
Lumbasi Simulizi
21,8 тыс. подписчиков
17 356 просмотров · 6 месяцев назад
Niliitikia tu na safari ya kwenda Sinza ikaanza, tulifika na kupaki nje ya geti akaingia ndani nikabaki namsubiri kwenye gari.
Baada ya Brianna kwenda ndani nilitoa ile aimu ndogo ya Pamela na kuiwasha. Moyo wangu wote ulikuwa unaenda mbio.
Instagram: @lucaslumbasi_tz
#simulizi #truestory #simulizizalumbasi