Перейти к содержимому

WAAJIRI MANYARA PELEKENI MICHANGO NSSF KWA WAKATI

A_MEDIA

0:00 / 0:00

WAAJIRI MANYARA PELEKENI MICHANGO NSSF KWA WAKATI

48 просмотров · 12 дней назад
A_MEDIA
112 подписчиков
48 просмотров · 12 дней назад
Waajiri Mkoani Manyara  wametakiwa kuwasilisha michango  ya waajiriwa wao kwa wakati katika mfuko wa Taifa wa hifadhi ya jamii NSSF ili kuondoa usumbufu ikiwemo kutozwa faini. . Kauli hiyo imetolewa na  kaimu meneja wa NSSF  Mkoa wa Manyara Abdallah Ally Kaporo katika  maadhimisho ya  wiki ya huduma kwa wateja. Katika maadhimisho hayo NSSF Mkoa wa Manyara, imetambua mchango wa baadhi ya waajiri Ambao wanawasilisha michango ya waajiri wao kwa wakati kwa kuwapatia zawadi mbalimbali pamoja na vyeti vya pongezi kwa uwasilishaji bora wa michango hiyo. kizungumza kwa niaba ya waajiri kurugenzi wa shule ya sekondari mbulu winners,amesema kila mfanyakazi anahaki ya kujiunga na mfuko wa nssf na kuwasisitiza waajiri wengine kukusanya michango ya waajiriwa wao kwa wakati na kwasilisha katika mfuko huo. nao baadhi ya wanancha wa mfuko huo wa hifadhi ya taifa nssf mkoani manyara wanao changia kwa hiyari wameelezea namna wanavyo nufaika na mfuko huo.