Перейти к содержимому

ALIYEKUWA KILAZA SHULENI HADI KUWA MWALIMU MKALI WA SOMO LA HISABATI AFICHUA SIRI NZITO.

Chomoza Digital

0:00 / 0:00

ALIYEKUWA KILAZA SHULENI HADI KUWA MWALIMU MKALI WA SOMO LA HISABATI AFICHUA SIRI NZITO.

84 просмотра · 7 месяцев назад
Chomoza Digital
10,1 тыс. подписчиков
84 просмотра · 7 месяцев назад
Alikuwa anaitwa kilaza. Alifeli akiwa shule ya msingi, akaonekana hana future, wengine wakamkata tamaa kabisa. Lakini hakukata tamaa yeye mwenyewe. Ndani yake kulikuwa na ndoto kubwa kuliko alama za mtihani. Leo hii ni Mwalimu bora wa Hisabati. Somo ambalo lilimpa wakati mgumu, sasa ndilo limekuwa daraja la kuwavusha wanafunzi wengi. Alibadilisha maumivu yake kuwa nguvu, fedheha yake kuwa funzo, na kushindwa kwake kuwa ushuhuda. Hadithi yake inatukumbusha kuwa kufeli si mwisho wa maisha. Kilaza wa jana anaweza kuwa kichwa wa kesho. Usikate tamaa na mtoto au kijana yeyote hujui Mungu ameweka nini ndani yake. Ndani ya KABRASHA, ameweka wazi hatua zake za ukuaji, changamoto alizokutana nazo, na kwa nini kila kijana anatakiwa kujifunza kuwekeza mapema.