“TUTAKUTANA TENA, TUTAPIMA KILA AZIMIO” BUNGE LAIPA SERIKALI MAELEKEZO
TMC NEWS TV
0:00 / 0:00
“TUTAKUTANA TENA, TUTAPIMA KILA AZIMIO” BUNGE LAIPA SERIKALI MAELEKEZO
70 просмотров · 2 дн. назад
TMC NEWS TV
42,9 тыс. подписчиков
70 просмотров · 2 дн. назад
Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imesisitiza umuhimu wa Serikali kutekeleza kikamilifu mapendekezo na maazimio ya Bunge yaliyotokana na ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ikieleza kuwa utekelezaji wake utaendelea kufuatiliwa.
Katika maelezo yake bungeni, Mwenyekiti wa Kamati Ado Shaibu Ado amesema Serikali inapaswa kuwasilisha ripoti ya utekelezaji wa maazimio ya Bunge ili wabunge waweze kupima hatua zilizochukuliwa na uwajibikaji wa waliopewa dhamana ya kusimamia fedha za umma.
Kamati pia imeibua hoja ya Shilingi bilioni 5.7 zilizotakiwa kuelekezwa kwenye miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza, lakini kwa mujibu wa taarifa ya CAG hazikupelekwa kwenye miradi hiyo, huku ikiagiza uchunguzi zaidi ufanyike.
TMC NEWS | Shaping The Future
Asante kwa kufuatilia TMC NEWS. Subscribe, Like na Share ili kuendelea kupata habari za uhakika, matangazo ya moja kwa moja na uchambuzi wa kina kutoka Tanzania na duniani.
🔔 Washa arifa (Notifications) ili usipitwe na taarifa muhimu.
📢 Kwa matangazo, ushirikiano na maoni:
📧 tmcnewsmedia@gmail.com
📞 +255 674 075 414
🌐 Tufuatilie kwenye mitandao yote ya kijamii: @tmcnewsmedia
#tmcnews565 #ShapingTheFuture #BreakingNews #TanzaniaNews #LiveNews#BungeLaTanzania #CAG #LAAC #Uwajibikaji #FedhaZaUmma #Mwanza #Halmashauri #RipotiYaCAG #Tanzania