Mbunge aliyeruka sarakasi akomaa na Wizara ya Ujenzi kutotimiza ahadi
Mwananchi Digital
0:00 / 0:00
Mbunge aliyeruka sarakasi akomaa na Wizara ya Ujenzi kutotimiza ahadi
2 746 просмотров · 2 года назад
Mwananchi Digital
1,23 млн подписчиков
2 746 просмотров · 2 года назад
Mbunge wa Mbulu Vijijini (CCM), Flatei Massay amedai kupigwa changa la macho baada ya ahadi alizopewa jimboni kwake kutotimizwa na Wizara ya Ujenzi huku akitumia kishkwambi kutoa ushahidi.
Flatei amesema hayo leo Mei 29, 2024 wakati kuchangia katika hotuba ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2024 / 2025, bungeni jijini Dodoma.
Mbunge huyo aliwahi kuruka sarakasi bungeni Mei 23, 2022 ikiwa ni msisitizo wa kuonyesha msisitizo wa hoja yake kuwa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kutoa ahadi ya ujenzi wa barabara ya Mbulu hadi Haydom bila utekelezaji.