Simba yafafanua kuhusu ukubwa wa 'bonasi' baada ya kuifunga Yanga 2-1 kwenye NBC PL 10/10/2026
Azam TV
0:00 / 0:00
Simba yafafanua kuhusu ukubwa wa 'bonasi' baada ya kuifunga Yanga 2-1 kwenye NBC PL 10/10/2026
13 643 просмотра · 9 ч назад
Azam TV
3,32 млн подписчиков
13 643 просмотра · 9 ч назад
AHMED ALLY: “Hiyo bilioni moja, hata mimi natoa”.
Kuhusu bonasi….. Je, waliahidiwa shilingi bilioni moja?
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally anafafanua akisema shilingi bilioni moja ni ‘level’ yake yeye, akimaanisha kuwa bonasi itakayotolewa kwa kuifunga Yanga ni zaidi ya shilingi bilioni moja…
Kuhusu program ya timu…..
Ahmed Ally ameeleza kuhusu ratiba akisema baada ya ushindi wa jana, hakuna kupumzika, “ni kazi na dawa”, na leo kikosi kinaendelea na tizi kuelekea mchezo ujao..
Kuhusu goli la Mpanzu, Ahmed anasema “..siwezi kulizungumza kwa dakika moja”.
Huyu hapa kupitia kipindi cha Sports AM asubuhi ya leo (11/10/2026) akianza kwa kutoa ufafanuzi kuhusu utaratibu na muundo wa bonasi zao ambapo amesema zinatolewa endapo timu imeshinda tu…. Lakini utaratibu huo uko tofauti kidogo upande wa mechi za kimataifa…
#NBCPL #NBCPremierLeague #SimbaYanga #AhmedAlly #SportsAM