Askofu Mwijage: Tunawaombea Watekaji Wauaji na wanaotawala kwa mabavu waombe toba.
Radio Mbiu
0:00 / 0:00
Askofu Mwijage: Tunawaombea Watekaji Wauaji na wanaotawala kwa mabavu waombe toba.
10 252 просмотра · 2 дн. назад
Radio Mbiu
31,9 тыс. подписчиков
10 252 просмотра · 2 дн. назад
PICHA JONGEFU || MISA TAKATIFU YA KILELE CHA HIJA LURDI YA NYAKIJOGA - BUKOBA 2026.
Homilia wakati wa Misa Takatifu, ya Kilele cha Hija, kwaheshima ya Mama Bikira Maria wa Lurdi- Parokia ya Bikira Maria wa Lurdi-Mugana, Nyakijoga Jimbo Katoliki la Bukoba.
Misa Takatifu ya Hija imeadhimishwa Oktoba 25 2026 na Mhashamu Jovitus Mwijage, Askofu Jimbo Katoliki Bukoba, na kuhudhuriwa na Mahujaji wa kutoka ndani na nje ya Tanzania
www.radiombiu.co.tz
#rmsautiyafaraja