Перейти к содержимому

RC Mghwira Ambeba Dc Sabaya Mbele ya Askari Wake

Global TV Online

0:00 / 0:00

RC Mghwira Ambeba Dc Sabaya Mbele ya Askari Wake

224 336 просмотров · 7 лет назад
Global TV Online
5,95 млн подписчиков
224 336 просмотров · 7 лет назад
RC Mghwira 'Amlipua' DC Hadharani "Mnakamata sana watu" Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, Leo Novemba 05, amekabidhi usafiri wa pikipiki kwa Askari polisi wa wilaya ya Hai kwa ajili ya kuwarahisishia katika utendaji kazi wao. Akizungumza katika hafla hiyo RC Mghwira amempongeza Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, kwa kusimamia zoezi la ukusanyaji wa mapato katika vyanzo mbalimbali vilivyopo wilayani humo ambayo ndiyo yamepelekea kununuliwa kwa pikipiki hizo. FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho