Перейти к содержимому

DC Sabaya Aibua Madudu Kwenye Kahawa Wawili Wadakwa

Global TV Online

0:00 / 0:00

DC Sabaya Aibua Madudu Kwenye Kahawa Wawili Wadakwa

109 030 просмотров · 7 лет назад
Global TV Online
5,95 млн подписчиков
109 030 просмотров · 7 лет назад
DC Hai Aibua Madudu Kwenye Kahawa MKUU wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, ameagiza kukamatwa na kuwekwa ndani kwa watu wawili ambao wanadaiwa kuhujumu uchumi kwa kukwepa kodi na kwenda kinyume na maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Kilamanjaro, Bi Anna Mghwira. DC Sabaya amefikia uamuzi huo baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa wananchi wanaofanya kazi katika kampuni ya Trevvo inayolima kahawa ambayo imefanya ujanja wa kutumia kampuni nyingine kuuza kahawa hiyo kitu ambacho ni kinyume na sheria. Kufuatia malalamiko hayo, DC Sabaya, pia ameagiza kusimamishwa kwa kiwanda hicho kisiendelee kufanya kazi mpaka pale muafaka utakapopatikana. #DCSABAYA Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw...