Dondoo na Reggae Agosti 15, 2026 Plot #1
Dondoo na …..
0:00 / 0:00
Dondoo na Reggae Agosti 15, 2026 Plot #1
32 просмотра · 1 месяц назад
Dondoo na …..
256 подписчиков
32 просмотра · 1 месяц назад
When reggae found Africa, it found a new voice.
The Roots of the Powerful Connection Between Reggae and Africa.
Ni nini kilichofanya reggae, muziki ulioanzia Jamaica, uweze kupata nafasi kubwa na kugusa mioyo ya Waafrika?
Reggae ilipofika Afrika, ilikuta historia, utamaduni, changamoto na matarajio ambayo yalikuwa na uhusiano mkubwa na ujumbe uliokuwa ukibebwa na reggae.
Kwa Afrika, Reggae ni zaidi ya muziki,zaidi ya sauti ya umoja, mshikamano, uhuru, haki, matumaini na utambulisho wa Waafrika.
Wasanii wa Reggae hapa Afrika walioonyesha namna Reggae ulivyoweza kupata sauti ya Kiafrika bila kupoteza mizizi yake, Jamaica iliipa Reggae mizizi na Afrika iliipa Reggae sauti nyingine. Na ujumbe wake ukavuka mipaka.