PAUL MWANGOSI: Nguvu za Ndani yako zinatunzwa na Utii
Paul Mwangosi
0:00 / 0:00
PAUL MWANGOSI: Nguvu za Ndani yako zinatunzwa na Utii
206 просмотров · 3 месяца назад
Paul Mwangosi
50,6 тыс. подписчиков
206 просмотров · 3 месяца назад
Bwana Yesu asifiwe mtoto wa Mungu karibu kupata Ufahamu
Somo hili Roho Mtakatifu ameachilia katikati ya Kanisa ili kurudisha
Hali ya mahusiano kati ya Mungu aliye hai na Mwanadamu
Na ndiyo maana unaona Roho Mtakatifu anatusemesha kwa namna tofauti
Kwa Mungu Utii ndiyo ndiyo msingi na lango la Mahusiano mazuri
Ukiweza sikiliza mara nyingi zaidi ili Uone hicho kilichojificha katika maisha
ya kila siku.
Unaonaona jinsi alivyokuwa na nguvu ambazo zilikuwa zimefunganishwa na Utii.
Sijui ndani yako unaisikiliza Sauti ya nani ?
Kama unahitaji Ushauri zaidi au maombi tumia namba hii
kwa WhatsApp namba hii +255752 883 358
NAMBA ZA SADAKA NI HIZI
+255743 133 677 M-pesa
+255710 194 185 Mix by Yas
Account Bank
CRDB BANK 0152631117200
NJIA ZOTE JINA NI PAUL MWANGOSI