Je, unazifahamu changamoto za pua, koo na masikio zinazowakuta wakazi wa Kanda ya Ziwa kwa wingi?
AfyaCheck
0:00 / 0:00
Je, unazifahamu changamoto za pua, koo na masikio zinazowakuta wakazi wa Kanda ya Ziwa kwa wingi?
54 просмотра · 5 месяцев назад
AfyaCheck
5,37 тыс. подписчиков
54 просмотра · 5 месяцев назад
Kipindi hiki cha AfyaCheck kilirekodiwa wakati wa kambi ya upimaji wa bure wa AfyaCheck kwa wakazi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa (Lake Zone Regions AfyaCheck Campaign) ya Mwanza, Mara, Kagera, Geita na Shinyanga. Katika kipindi hiki madaktari bingwa kutoka Kamanga Medics Regional Referral Hospital, Dr Adam Sijaona, Daktari Bingwa wa Masikio, Koo na Pua (ENT) na Dr Anthony Mapande, Daktari Bingwa wa Upasuaji wanazungumzia kuhusu changamoto za masikio, pua na koo (ENT) pamoja na zile zinazohitaji upasuaji kwa wakazi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa.