Перейти к содержимому

Ni Nani Hawa by Deo Kalolela

Mike King'oo

0:00 / 0:00

Ni Nani Hawa by Deo Kalolela

6 894 просмотра · 4 года назад
Mike King'oo
3,24 тыс. подписчиков
6 894 просмотра · 4 года назад
Wimbo-Ni nani hawa Mtunzi-Deo Kalolela Organist-Mike King'oo Maneno Ya Wimbo (Ni nani hawa watembeao kwa furaha (wote pamoja) wakiijongea Altare yake Mungu ni wateule wake Bwana walio alikwa kwa karamu)×2 1. Yakupasa ujiulize, ndugu unakikwazo gani, kinacho kufanya uiogope meza ya Bwana. 2. Hebu watazame wenzako, wanavyo kwenda kwa furaha, wakiijongea meza ya Bwana kwa karamu. 3. Bwana Yesu ameutwaa, mwili wake kama chakula, na damu yake kaitoa kwetu kama kinywaji.