MARAFIKI NA WADAU JIMBO KATOLIKI BUKOBA, WASHIRIKI CHAKULA CHA HISANI, UJENZI WA HOSTEL NYAKIJOGA
Radio Mbiu
0:00 / 0:00
MARAFIKI NA WADAU JIMBO KATOLIKI BUKOBA, WASHIRIKI CHAKULA CHA HISANI, UJENZI WA HOSTEL NYAKIJOGA
5 310 просмотров · 1 дн. назад
Radio Mbiu
31,7 тыс. подписчиков
5 310 просмотров · 1 дн. назад
MARAFIKI NA WADAU JIMBO KATOLIKI BUKOBA, WASHIRIKI CHAKULA CHA HISANI, UJENZI WA HOSTEL NYAKIJOGA
Wadau na Marafiki wa Jimbo Katoliki la Bukoba, wameshiriki katika Chakula cha Hisani jijini Dar es Salaam, lengo likiwa ni kuwezesha ujenzi wa jengo la Hostel, katika Kituo cha Hija Nyakijoga, Jimbo Katoliki Bukoba.
Katika harambee hiyo, thamani ya ujenzi wa chumba kimoja cha Hostel ilikua ni ahadi ya mchango wa Tsh Million 16, ambapo kila mchangiaji aliyefikisha thamani ya chumba, alipewa nafasi ya kupendekeza Jina la Mtakatifu litakaloandikwa katika chumba hicho.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja