Перейти к содержимому

NZK, 110. MLANGO WAZI

Home of Hymns Kenya

0:00 / 0:00

NZK, 110. MLANGO WAZI

839 просмотров · 6 л. назад
Home of Hymns Kenya
48 подписчиков
839 просмотров · 6 л. назад
Welcome and be blessed as we all seek for the face of the Lord. 110. MLANGO WAZI 1.Mlango uko wa wema, mlango wazi huo; Yesu ameufungua na hakuna kufunga. Refrain Mlango wazi, ajabu, uliachwa wazi kwangu? Kwangu, kwangu? wazi, wazi kwangu? 2.Mlango hukaa wazi watu waokolewe; Maskini na matajiri wa mataifa yote. 3.Maadam mlango wazi, rafiki kaza mwendo; Msalaba ukubali - amana ya upendo. 4.Msalaba tutabeba daima, na furaha! 'pendo wa Yesu hushinda, tunainama kwake.