Перейти к содержимому

Anisikiaye - #109NZK || Choristers || Ibada ya Sabato 22.04.2023 || Mwenge SDA Church

Mwenge SDA Church

0:00 / 0:00

Anisikiaye - #109NZK || Choristers || Ibada ya Sabato 22.04.2023 || Mwenge SDA Church

519 просмотров · 3 г. назад
Mwenge SDA Church
18,3 тыс. подписчиков
519 просмотров · 3 г. назад
#109NZK #Anisikiaye #BwanaAnakumbuka #DrNyandaSabatoLushina #MchRahisiMande #YesuAnakujaJihusishe Karibu katika Ibada ya Sabato 22.04.2023 Ukiwa na swali, uhitaji wa maombi, ubatizo wasiliana na Mchungaji. Rahisi Mande +255 677 048 049 Kama una ushauri au malalamiko kuhusiana matangazo yetu karibu kuwasiliana nasi kwa simu, meseji au WhatsApp kwa namba +255 713 215 930 au barua pepe live@mwengesdachurch.or.tz au sdamwenge@gmail.com Karibu baadae kuangalia nyimbo za kwaya ya watoto Amazing Harps, ingia katika Playlist kwa link hii: https://bit.ly/Amazing-Harps-Choir SADAKA YA MAJENGO Unaweza pia kutoa SADAKA ya MAJENGO kupitia Mpesa, LIPA namba: 5786348 , Jina: MWENGE SDA CHURCH (MAJENGO), kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 767 122 508 (Mhazini wa Kanisa- Sharon Gesase). SADAKA ya MAJENGO: CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 501, Jina: SDA Church Mwenge MAJENGO, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no: +255 767 122 508 (Mhazini wa Kanisa- Sharon Gesase). ZAKA & SADAKA Unaweza pia kutoa ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia Mpesa, LIPA namba: 5810262 , Jina: MWENGE SDA CHURCH, kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 767 122 508 (Mhazini wa Kanisa- Sharon Gesase). Unaweza kutoa pia ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 500, Jina la Account: SDA Church Mwenge, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no: +255 767 122 508 (Mhazini wa Kanisa- Sharon Gesase). Mungu akubariki. Karibu ku-SUBSCRIBE ili uwe sehemu ya wengi wanaobarikiwa: https://bit.ly/SUBSCRIBE-Now, watumie na marafiki pia. Karibu pia kutembelea, ku-follow, ku-Like na ku-Comment kwenye: Tovuti yetu: www.mwengesdachurch.or.tz Facebook Page: Mwenge SDA Church Live Instagram: mwengesdachurchlive Mungu akubariki.