1. MUNGU BADO ANATAWALA
Habari Njema Media
0:00 / 0:00
1. MUNGU BADO ANATAWALA
1 657 просмотров · 10 месяцев назад
Habari Njema Media
16,2 тыс. подписчиков
1 657 просмотров · 10 месяцев назад
“Mungu Bado Anatawala” somo hili linatukumbusha kuwa mpango wa Mungu husimama milele (Isaya 14:24; 46:9–10). Kutoka ndoto ya Danieli 2 hadi tangazo la Ufunuo 11:15, falme za wanadamu hupita bali Ufalme wa Kristo husimama daima. Tazama upate tumaini, imani na ujasiri wa kusimama na Neno. Usisahau ku-like, ku-subscribe na kushare! #MunguBadoAnatawala #Injili #Danieli #Ufunuo