Перейти к содержимому

UCHANGANUZI OKTOBA 23 | Umuhimu wa bima ya afya kwa wote

UTV Tanzania

0:00 / 0:00

UCHANGANUZI OKTOBA 23 | Umuhimu wa bima ya afya kwa wote

161 просмотр · 3 дн. назад
UTV Tanzania
186 тыс. подписчиков
161 просмотр · 3 дн. назад
Awamu ya pili ya Bima ya Afya kwa Woye imezinduliwa Kitaifa Mkoani Mtwara hii leo. Wakati tukio hilo likifanyika kitaifa lakini pia kila Mkoa umefanya uzinduzi huo kwa ngazi yao. Serikali kwa sasa inalenga kugusa Kaya 625,000 baada ya kukamilika kwa awamu ya kwanza. Tafsiri nyepesi ni kwamba kila kaya ya watu sita itahudumiwa kwa Laki Moja na Elfu Hamsini.