Zijue Faida kubwa katika mwili wa binaadamu kwa kufunga siku 3 kila mwezi (masiku meupe)
Kikapu Chetu
0:00 / 0:00
Zijue Faida kubwa katika mwili wa binaadamu kwa kufunga siku 3 kila mwezi (masiku meupe)
2 414 просмотров · 6 л. назад
Kikapu Chetu
4,15 тыс. подписчиков
2 414 просмотров · 6 л. назад
Funga ya yaumu bedha, masiku meupe, mwezi 13, 14, 15. Mbali na fadhila kubwa anazizipata mwanaadamu kwa mola wake kutokana na kufunga siku hizi bali pia kuna faida kubwa katika afya binaadam anazozipata akifunga siku tatu mfululizo.
Angalia video hii ufaidike na je ni vipi unatakiwa ufunge....Rasulillah (S.A.W) ametuwekea wazi faida hizi, na je wasomi wa dunia yetu hii ya leo wanasemaje kuhusu hili?
Usiache kushare na wenzako ili wafaidike na iwe sadakatul jariyya kwetu sote. Amin