MAHAKAMA YALILIWA KUCHELEWESHA MWENENDO
NYAMATE DIGITAL
0:00 / 0:00
MAHAKAMA YALILIWA KUCHELEWESHA MWENENDO
200 просмотров · 1 месяц назад
NYAMATE DIGITAL
1,33 тыс. подписчиков
200 просмотров · 1 месяц назад
Kesi hiyo iliyofunguliwa katika mahakama ya wilaya Nyamagana kati ya Edwin Masaka Kitare dhidi Jema African kesi hizo zinztokana na shauri la jinai no 1518 2025 kutoka mahakama ya mwanzo mkuyuni ambao mahakama hiyo ili muhukumu kifungo cha miezi sita Gerezani.
Edwin Masaka Kitare kupitia wakili wake Machele Mkaruka wafungua kesi mbili moja ikiwa ni kwa ajili ya kupatiwa dhamana na nyingine ikiwa ni kwa ajili ya kukata Rufaa.
Kutokana na kufungua shauri hilo bado mwenendo wa kesi katika mahakama ya mwanzo mkuyuni bado inakwamisha shauri kuendelea kusikilizwa